Mt. 17:17 SUV

17 Yesu akajibu, akasema, Enyi kizazi kisichoamini, kilichopotoka, nitakaa pamoja nanyi hata lini? Nitachukuliana nanyi hata lini? Mleteni huku kwangu.

Kusoma sura kamili Mt. 17

Mtazamo Mt. 17:17 katika mazingira