Mt. 17:24 SUV

24 Hata walipofika Kapernaumu, wale watozao nusu-shekeli walimwendea Petro, wakasema, Je! Mwalimu wenu hatoi nusu-shekeli? Akasema, Hutoa.

Kusoma sura kamili Mt. 17

Mtazamo Mt. 17:24 katika mazingira