Mt. 17:5 SUV

5 Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.

Kusoma sura kamili Mt. 17

Mtazamo Mt. 17:5 katika mazingira