Mt. 18:12 SUV

12 Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisa na tisini, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea?

Kusoma sura kamili Mt. 18

Mtazamo Mt. 18:12 katika mazingira