Mt. 18:7 SUV

7 Ole ni wa ulimwengu kwa sababu ya mambo ya kukosesha! Maana hayana budi kuja mambo ya kukosesha; lakini ole wake mtu yule aliletaye jambo la kukosesha!

Kusoma sura kamili Mt. 18

Mtazamo Mt. 18:7 katika mazingira