Mt. 18:9 SUV

9 Na jicho lako likikukosesha, ling’oe, ukalitupe mbali nawe; ni afadhali kuingia katika uzima una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum ya moto.

Kusoma sura kamili Mt. 18

Mtazamo Mt. 18:9 katika mazingira