Mt. 19:14 SUV

14 Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao.

Kusoma sura kamili Mt. 19

Mtazamo Mt. 19:14 katika mazingira