Mt. 19:8 SUV

8 Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Kusoma sura kamili Mt. 19

Mtazamo Mt. 19:8 katika mazingira