Mt. 2:11 SUV

11 Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu na uvumba na manemane.

Kusoma sura kamili Mt. 2

Mtazamo Mt. 2:11 katika mazingira