Mt. 20:18 SUV

18 Angalieni, tunapanda kwenda Yerusalemu; na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi; nao watamhukumu afe;

Kusoma sura kamili Mt. 20

Mtazamo Mt. 20:18 katika mazingira