Mt. 20:25 SUV

25 Lakini Yesu akawaita, akasema, Mwajua ya kuwa wakuu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha.

Kusoma sura kamili Mt. 20

Mtazamo Mt. 20:25 katika mazingira