Mt. 20:30 SUV

30 Na tazama, vipofu wawili wameketi kando ya njia, nao waliposikia ya kwamba Yesu anapita, walipaza sauti, wakisema, Uturehemu, Bwana, mwana wa Daudi!

Kusoma sura kamili Mt. 20

Mtazamo Mt. 20:30 katika mazingira