Mt. 21:15 SUV

15 Lakini wakuu wa makuhani na waandishi walipoyaona maajabu aliyoyafanya, na watoto waliopaza sauti zao hekaluni, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi! Walikasirika,

Kusoma sura kamili Mt. 21

Mtazamo Mt. 21:15 katika mazingira