Mt. 21:19 SUV

19 Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake ila majani tu; akauambia, Yasipatikane matunda kwako tangu leo hata milele. Mtini ukanyauka mara.

Kusoma sura kamili Mt. 21

Mtazamo Mt. 21:19 katika mazingira