Mt. 21:21 SUV

21 Yesu akajibu, akawaambia, Amin, nawaambia Mkiwa na imani, msipokuwa na shaka, mtafanya si hilo la mtini tu, lakini hata mkiuambia mlima huu, Ng’oka, ukatupwe baharini, litatendeka.

Kusoma sura kamili Mt. 21

Mtazamo Mt. 21:21 katika mazingira