Mt. 21:23 SUV

23 Hata alipokwisha kuingia hekaluni, wakuu wa makuhani na wazee wa watu wakamwendea alipokuwa akifundisha, wakasema, Ni kwa amri gani unatenda mambo haya? Naye ni nani aliyekupa amri hii?

Kusoma sura kamili Mt. 21

Mtazamo Mt. 21:23 katika mazingira