Mt. 21:27 SUV

27 Wakamjibu Yesu wakasema, Hatujui. Naye akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi ni kwa amri gani ninatenda haya.

Kusoma sura kamili Mt. 21

Mtazamo Mt. 21:27 katika mazingira