Mt. 21:9 SUV

9 Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye kwa jina la Bwana; Hosana juu mbinguni.

Kusoma sura kamili Mt. 21

Mtazamo Mt. 21:9 katika mazingira