Mt. 22:13 SUV

13 Mfalme akawaambia watumishi, Mfungeni mikono na miguu, mchukueni mkamtupe katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

Kusoma sura kamili Mt. 22

Mtazamo Mt. 22:13 katika mazingira