Mt. 23:34 SUV

34 Kwa sababu hiyo, angalieni, mimi natuma kwenu manabii na wenye hekima na waandishi; na wengine wao ninyi mtawaua na kuwasulibisha, na wengine wao mtawapiga katika masinagogi yenu, na kuwafukuza mji kwa mji;

Kusoma sura kamili Mt. 23

Mtazamo Mt. 23:34 katika mazingira