Mt. 23:8 SUV

8 Bali ninyi msiitwe Rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu.

Kusoma sura kamili Mt. 23

Mtazamo Mt. 23:8 katika mazingira