Mt. 24:29 SUV

29 Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika;

Kusoma sura kamili Mt. 24

Mtazamo Mt. 24:29 katika mazingira