Mt. 24:3 SUV

3 Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?

Kusoma sura kamili Mt. 24

Mtazamo Mt. 24:3 katika mazingira