Mt. 25:31 SUV

31 Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake;

Kusoma sura kamili Mt. 25

Mtazamo Mt. 25:31 katika mazingira