Mt. 25:41 SUV

41 Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake;

Kusoma sura kamili Mt. 25

Mtazamo Mt. 25:41 katika mazingira