Mt. 26:17 SUV

17 Hata siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Ni wapi utakapo tukuandalie uile Pasaka?

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:17 katika mazingira