Mt. 26:24 SUV

24 Mwana wa Adamu aenda zake, kama alivyoandikiwa; lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa.

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:24 katika mazingira