Mt. 26:29 SUV

29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:29 katika mazingira