Mt. 26:31 SUV

31 Ndipo Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:31 katika mazingira