Mt. 26:42 SUV

42 Akaenda tena mara ya pili, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa, mapenzi yako yatimizwe.

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:42 katika mazingira