Mt. 26:45 SUV

45 Kisha akawajia wanafunzi wake, akawaambia, Laleni sasa, mpumzike tazama, saa imekaribia, na Mwana wa Adamu anatiwa katika mikono ya wenye dhambi.

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:45 katika mazingira