Mt. 26:47 SUV

47 Basi alipokuwa katika kusema, tazama, Yuda, mmoja wa wale Thenashara akaja, na pamoja naye kundi kubwa wenye panga na marungu, wametoka kwa wakuu wa makuhani na wazee wa watu.

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:47 katika mazingira