Mt. 26:55 SUV

55 Saa ile Yesu akawaambia makutano, Je, mmetoka kama kumkamata mnyang’anyi, wenye panga na marungu, ili kunishika? Kila siku naliketi hekaluni nikifundisha, msinikamate.

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:55 katika mazingira