63 Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.
Kusoma sura kamili Mt. 26
Mtazamo Mt. 26:63 katika mazingira