Mt. 26:71 SUV

71 Naye alipotoka nje hata ukumbini, mwanamke mwingine alimwona, akawaambia watu waliokuwako huko, Huyu alikuwapo pamoja na Yesu Mnazareti.

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:71 katika mazingira