Mt. 26:73 SUV

73 Punde kidogo, wale waliohudhuria wakamwendea, wakamwambia Petro, Hakika wewe nawe u mmoja wao; kwa sababu hata usemi wako wakutambulisha.

Kusoma sura kamili Mt. 26

Mtazamo Mt. 26:73 katika mazingira