Mt. 27:29 SUV

29 Wakasokota taji ya miiba, wakaiweka juu ya kichwa chake, na mwanzi katika mkono wake wa kuume; wakapiga magoti mbele yake, wakamdhihaki, wakisema, Salamu, Mfalme wa Wayahudi!

Kusoma sura kamili Mt. 27

Mtazamo Mt. 27:29 katika mazingira