Mt. 27:3 SUV

3 Kisha Yuda, yule mwenye kumsaliti, alipoona ya kuwa amekwisha kuhukumiwa, alijuta, akawarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande thelathini vya fedha, akasema, Nalikosa nilipoisaliti damu isiyo na hatia.

Kusoma sura kamili Mt. 27

Mtazamo Mt. 27:3 katika mazingira