Mt. 27:54 SUV

54 Basi yule akida, na hao waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu, walipoliona tetemeko la nchi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakisema, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.

Kusoma sura kamili Mt. 27

Mtazamo Mt. 27:54 katika mazingira