Mt. 28:7 SUV

7 Nanyi nendeni upesi, mkawaambie wanafunzi wake, Amefufuka katika wafu. Tazama, awatangulia kwenda Galilaya; ndiko mtakakomwona. Haya, nimekwisha waambia.

Kusoma sura kamili Mt. 28

Mtazamo Mt. 28:7 katika mazingira