Mt. 3:11 SUV

11 Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.

Kusoma sura kamili Mt. 3

Mtazamo Mt. 3:11 katika mazingira