Mt. 3:4 SUV

4 Naye Yohana mwenyewe alikuwa na vazi lake la singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu.

Kusoma sura kamili Mt. 3

Mtazamo Mt. 3:4 katika mazingira