Mt. 4:10 SUV

10 Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

Kusoma sura kamili Mt. 4

Mtazamo Mt. 4:10 katika mazingira