Mt. 4:18 SUV

18 Naye alipokuwa akitembea kando ya bahari ya Galilaya, aliona ndugu wawili, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.

Kusoma sura kamili Mt. 4

Mtazamo Mt. 4:18 katika mazingira