Mt. 4:24 SUV

24 Na habari zake zikaenea katika Shamu yote; wakamletea wote waliokuwa hawawezi, walioshikwa na maradhi mbalimbali na mateso, wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Kusoma sura kamili Mt. 4

Mtazamo Mt. 4:24 katika mazingira