Mt. 5:22 SUV

22 Bali mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.

Kusoma sura kamili Mt. 5

Mtazamo Mt. 5:22 katika mazingira