Mt. 5:29 SUV

29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling’oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.

Kusoma sura kamili Mt. 5

Mtazamo Mt. 5:29 katika mazingira