Mt. 6:1 SUV

1 Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.

Kusoma sura kamili Mt. 6

Mtazamo Mt. 6:1 katika mazingira