Mt. 6:16 SUV

16 Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

Kusoma sura kamili Mt. 6

Mtazamo Mt. 6:16 katika mazingira