Mt. 6:20 SUV

20 bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi;

Kusoma sura kamili Mt. 6

Mtazamo Mt. 6:20 katika mazingira